Ndoa na kaka wa kambo ni sahihi?

Ndoa na kaka wa kambo ni sahihi?

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,784
Nimeikuta hii somewhere, binti anaomba ushauri, binafsi nimeona kama ni uchuro flani flani hvi,

"Mimi ni msichana wa miaka 23, nina kaka yangu baba mmoja na mama tofauti. Yeye ananipenda na mimi nampenda na tumekwisha wahi kufanya mapenzi mara kadhaa. Yeye ameahidi kuwa atanioa. Sisi ni Waislamu, je ni sawa tunachokifanya kama sio sawa tufanyeje?"

Vp wanaJF mnalionaje??
 
Kamwambie huyo aliyukutuma kuwa wakatubu mbele ya mzazi wao (baba) na mbele ya Mungu huo uchafu walioufanya na wasirudie tena hyo ni haramu.Pumbafu zao hawaoni watu wa nje hadi wanarudi ndani.
 
lol, hawa wanajua wanachokifanya na walikisha kidhamiria.

Sasa kama mnashea baba ninyi si kaka na dada? Mwe!
 
Hahahah laana imeingia duniani

huyu dada kama ana matatizo ya kisaikolojia aende akatibiwe

hivi anauliza upuuzi huu mbele za watu kweli
sina jibu hapa
 
Very disgusting and immoral behaviour- brother and Sister meeting on bed. Don't bring this again
 
DUh!!! hata kuoana ndugu lazima iwe ni kutoka ukoo mwingine ..meaning u dont share baba!!!! Lahaula!!
 
Wana uhakika kweli kuwa wako katika kuuliza? Au wanataka tu wasikie angalau mtu mmoja amesema hamna neno ili wajipe moyo kuwa wafanyacho ni sahihi?

Waache wazimu huo!
 
Wana uhakika kweli kuwa wako katika kuuliza? Au wanataka tu wasikie angalau mtu mmoja amesema hamna neno ili wajipe moyo kuwa wafanyacho ni sahihi?

Waache wazimu huo!

kweli kama washafanya hayo yote kilichobakia wanatafuta justification ili wahalalishe huo wazimu! jamani mwenyezi mungu lazima huwa anjishangalia tu! hao waja wake, vituko!
 
Hii nayo kali,hvi watu wengine wakoje?Hao nahisi wana mapepo,inawezekana vipi ufanye mapenzi na kaka yako?
 
Hii nayo kali,hvi watu wengine wakoje?Hao nahisi wana mapepo,inawezekana vipi ufanye mapenzi na kaka yako?

Nadhani na yeye hajaeleza vizuri walikuwa wanjua wakati wanafanya mapenzi au wamekuja kujua baadaye.
Haya mambo yapo ni kutokana na watoto kuza liwa na mama tofauti na kina mama kutopenda kuwaambia watoto baba zao ni nani, mwisho wa siku wanakutana huko wanafanya mapenzi bila wao kujau ni ndugu, wakija kujua penzi limekolea wanashidwa kuachana.
Binafsi nina ndugu yangu ameolewa na kaka yake bila kujua walishea baba wamekuja kujua wana mtoto 1 na ndoa tayari ikabidi waendelee wasingeweza kuachana.
ni mbaya lakini kama wamegundua kabla hawajafika mabali ni heri kuacha na kutubu then kila mtu anendelee na maisha yake
 
Du hao wana laana, sina la kushauri!!!!!!!!!!!!!
 
tusijibu kwa mazoea tujibu kwa kuangalia facts, hapo tatizo liko wapi?
 
Neema ya Bwana iwe nanyi. Hivi ndoa nini? kuna tofauti kubwa sana kati ya ndoa na arusi. Nyie mlishafanya ndoa tayari na mnaendelea kuifanya kwa kushiriki tendo lake.

Labda mnataka arusi...... hiyo siyo lazima!! Jiendeeni mkaishi kwa amani na mzae muijaze hii dunia!!!

Sodoma na Gomora ikija hamtapona NG'O!
 
lol, hawa wanajua wanachokifanya na walikisha kidhamiria.

Sasa kama mnashea baba ninyi si kaka na dada? Mwe!

Na kama mmoja wao aliletwa na mzazi mmoja je? wawe huru?????
 
Kamwambie huyo aliyukutuma kuwa wakatubu mbele ya mzazi wao (baba) na mbele za Mungu huo uchafu walioufanya na wasirudie tena hyo ni haramu.Pumbafu zao hawaoni watu wa nje hadi wanarudi ndani.

Sijatumwa mkuu, just katika pekua pekua nimeikuta somewher.
 
Hahahah laana imeingia duniani

huyu dada kama ana matatizo ya kisaikolojia aende akatibiwe

hivi anauliza upuuzi huu mbele za watu kweli
sina jibu hapa

I think ni zaidi ya laana, maana kwa binadamu mwenye timamu hawezi do that(( aaaaaaaaaaaaaaarrrrrg!! wamenichefua noma((
 
kweli kama washafanya hayo yote kilichobakia wanatafuta justification ili wahalalishe huo wazimu! jamani mwenyezi mungu lazima huwa anjishangalia tu! hao waja wake, vituko!

Binafsi nilishangaa why they've decided to ask kama wameshafanya? wher were they before hawajaanza uchafu wao((
 
Back
Top Bottom