Ndoa na kaka wa kambo ni sahihi?

Duu nadhani hapa hawa watakuwa wote hawajakamilika kiakiri na kimawazo pia!
 
Waacheni waazae watoto wenye makalio kichwani
 
Jamani kabla ya kuwashutumu sana hawa, wanahitaji ushauri na msaada unaofanana na tiba.

Haya mambo yanatokea hata kwa wakubwa tu. Mie yalishanipata nilipokuwa mdogo wa miaka 10 kulikuwa na mama yangu mdogo (dada mdogo wa mamangu) alikuwa mkubwa tu, alikuwa anasoma form 5 kipindi hicho alikuwa ananipa hiyo tundi. Yeye ndio alinianza kama mchezo tu wazazi walipokuwa wametoka siku moja ya weekend mchana, na siku zote alinionesha kuwa hiyo kitendo ni nzuri kabisa kwa mimi na yeye, ila nisimwambie mtu kwani ni aibu. Akaniambia hata babangu anaifanyaga na dadake (mamangu) lakini hawasemi kwa kuwa ni jambo la siri lakini ni tamu. Na mimi kwa wakati huo niliona ni sawa kabisa kunaniliu na mama mdogo.

Hawa hatujajua waliyaanza lini haya mambo, na pia walijifunzaje, si ajabu ni humo ndani ya familia pia na hawajapata nafasi ya kujua tofauti na hayo.
 
Ni sawa mbona wahindi , waarabu wanaoana ndugu? Hivi watoto wa adam na hawa walioa wakina nani kama siyo dada zao??
 
Quran inakataza damu moja kuoana. Ingeswih iwapo wangekuwa ni wa baba mkubwa na mdogo.
 

Labda Waisilamu wangefafanua hili jambo, Ninayosikia kwa waisilamu mtoto wa mjomba/binamu ni ruksa kuoa hili la Kaka wa Kambo nadhani limekaa vibaya. Hebu Muislamu mmoja atueleze nini Msimamo wa dini yao katika hili.

Maana mnaweza kumshambulia huyu jamaa kumbe huenda inaruhusiwa katika dini yake.
 

Duuh...Eebana eeh! nakubonyezea kitufe cha thanks kwa kuyaandika haya!
 


Hakuna dini wala mila katika dunia hii inayoruhusu ndugu wa baba au mama mmoja kuoana. Kwanza hawa wasijiite waislamu kabisaa, wameshakufuru hawa. Watafute sheikh awasilimishe.
 
Msikurupuke...
Mnajua vitabu vya Mungu vinasenaje ktk hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…