ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Wakuu nashangaa kila mtu anavyojitahidi kujitofautisha na mwingine katika kuiendea harusi wengine wanapanda Magari, Meli ndege, bajaji, baiskeli, farasi, punda nk. Lakini baada ya muda mfupi wote ufanana na kubaki story.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app