ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Wakuu nashangaa kila mtu anavyojitahidi kujitofautisha na mwingine katika kuuendea harusi wengine wanapanda Magari, Meli ndege, bajaji, baiskeli, farasi, punda nk. Lakini baada ya muda mfupi wote ufanana na kubaki story.
View attachment 1373524
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wametisha [emoji23][emoji23]
Tunaenjoy the moment mkuuWametisha lakini sikuwahi kujua lengo la mambo aya,
Wakiachana hujusijkiaje? Najua umu wapo waliofanya zaidi ya aya na tayari ndoa zishakufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Furaha ya muda mfupi haikuwahi kujenga familia, Suleimani alinena vyema "Yote ni ubatiri chini ya jua"Tunaenjoy the moment mkuu
Hizo habari za kuachana tutahuzunika zikitokea