Ndio akome kutoka nje ya ndoa, ngoja nisubiri commentsHabar za masiku wanajamvi la MMU. Me bado hali yangu ni tete na hiki kitambi. Leo nikiwa clinic nimepata kisa cha kusikitisha, kuna dada mjazito alikuwa analia. Katika maongezi akaniambia ana mimba sio ya mume wake ila kamweleza ukweli mumewe kasema atamtunza tu huyo mtoto ila aandikishwe clinic kwa jina la mumewe. Mwenye mzigo nae kasema aandikishwe clinic kwa jina lake . Mumewe kamsamehe kwa sababu alikuwa anamtesa mkewe na kulala nje. Sasa amejirudi. Na mume hataki huyo mtoto akizaliwa aitwe kwa jina la baba mwingne. Leo ameshindwa kuanza clinic. Tumsaidie kwa mawazo.
tatizo litakuja kwenye cheti mtoto akizaliwa. Na mwenye mzigo hatak mtoto apotee.Kwani hapo clinic wanataka nini? Kama ni jina la mume basi awape la mume wake....na kama wanataka la aliyeshiriki kwenye huo ujauzito basi ampe jina la huyo 'kidumu'.
hapo pagumu sana, ndoa kweli ndoano....
aandikishe jina la ukoo wake huyo mke, itakuwa fair treatment kwa wote watatu...mke, mume na mwizi.
huyo mdada alisema anaogopa aibu kwa familia, halaf mkaka mwiz yupo tayar kumchukua ila akavunje ndoa mahakamani.Hatari lakini salama,ingekuwa busara kwanza kujua msimamo wa huyo mama kwanza yeye kama yeye la sivyo itakuwa Majuto ni mjukuu
​Sasa inavyoonekana hampendi mume ila anaogopa aibu ya familia,wakati kukubali kubeba ujauzito wa mtu mwingine wakati upo kwenye ndoa ni aibu tosha.huyo mdada alisema anaogopa aibu kwa familia, halaf mkaka mwiz yupo tayar kumchukua ila akavunje ndoa mahakamani.
huyo mdada alisema anaogopa aibu kwa familia, halaf mkaka mwiz yupo tayar kumchukua ila akavunje ndoa mahakamani.
Hapa lazima tuipe kipaumbele principle ya KAIZER Ctrl+Alt+Delete), kote ni aibu bora arudi kwao akajifunze kuwa makini kwenye kuiishi na wanaume. kama ni aibu inayokuja ni zaiidi ya hiyo. Siku anaenda kujifungua atafanyaje? Nani atamsindikiza? Kidumu au mume halali? Kama ni mimi nafikiri ningekata hiyo picha kwa kufunga kilicho changu na kurudi nyumbani.