Ndoa ndoano

Ndoa ndoano

njechelle

Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
20
Reaction score
3
Habari wadau
Ili swali kwa walio USA tu.
Nina rafiki yangu jina kapuni kaniagiza nimuulizie swali humu
Kaoa mnyamwezi na wana miaka karibia 3 na anayo green card ya miaka kumi
Tatizo bibie mkorofi anataka amuache je itaathiri permanent yake?
 
Kama hana mpango wa kuomba uraia, haitaathiri hata kidogo miaka kumi haina conditions. Ila kama anataka uraia itabidi avumilie au aiombe sasa hivi i think kesha qualify kuomba if he holds gc kwa miaka mitatu mfululizo.
 
Back
Top Bottom