Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka lini? B'se huu mtindo huwa hauishi. Ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.
Tabu ya nini kujinyima raha duniani kisa uonekane umeolewa haha hahha
Usiogope MR hao wana act tu. Mimi nimeolewa mwaka wa tisa huu hamna hata mmoja wetu aliyewahi kulala chini nini kulala nje. Bado kuna relationship zinazo work. Hawa wanaonyesha extreme cases.
sikujua kuwa a realationship works if wewe na mume wako hakuna aliyewahi kulala chini wala nje....wapo wanaolala kitandani kila siku na nyumbani kwao ila rohoni wanatamani ingekuwa vinginevyo.....i agree kuna relationship zinazo work.....!