Ndoa ni Ndoano Nanuna Ulale Chini

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
 
Last edited by a moderator:
Hahahha kwa mtindo huu bado bado nipo sana tuuuuu:rant::rant::rant:
 
Hahahha kwa mtindo huu bado bado nipo sana tuuuuu:rant::rant::rant:

Mpaka lini? B'se huu mtindo huwa hauishi. Ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.
 
Usiogope MR hao wana act tu. Mimi nimeolewa mwaka wa tisa huu hamna hata mmoja wetu aliyewahi kulala chini nini kulala nje. Bado kuna relationship zinazo work. Hawa wanaonyesha extreme cases.

Tabu ya nini kujinyima raha duniani kisa uonekane umeolewa haha hahha
 
Kama sijaelewa vile! nanuna ulale chini kivipi?
 
Usiogope MR hao wana act tu. Mimi nimeolewa mwaka wa tisa huu hamna hata mmoja wetu aliyewahi kulala chini nini kulala nje. Bado kuna relationship zinazo work. Hawa wanaonyesha extreme cases.

sikujua kuwa a realationship works if wewe na mume wako hakuna aliyewahi kulala chini wala nje....wapo wanaolala kitandani kila siku na nyumbani kwao ila rohoni wanatamani ingekuwa vinginevyo.....i agree kuna relationship zinazo work.....!
 
Yes kweli usiogope kuingia kwenye ndoa kwa kusoma mifano mibaya! Ingia kwenye ndoa ukiwa umeona yote, mazuri ma mabaya, na pia kuwa na positive mind set! Ni kazi yako wewe na mke wako kuhakikisha kuwa mmoja wenu halali chini, wote mnalala kitandani! Ndoa hazina wonders, na pia unahitaji watu wawili kujenga na kubomoa ndoa! I wish the comedy could show the positive side of the marriage... ila najua hiyo haitakuwa news!
 
sikujua kuwa a realationship works if wewe na mume wako hakuna aliyewahi kulala chini wala nje....wapo wanaolala kitandani kila siku na nyumbani kwao ila rohoni wanatamani ingekuwa vinginevyo.....i agree kuna relationship zinazo work.....!

Formular ya kuwa na happy life ni ku appreciate what you see. Ukianza kuwa na mashaka na kutaka kujua yaliyo rohoni mwa mwenza wako you will never ever be happy in your life. Always think positive. Kwa sababu utaumia kichwa bure hutakaa ujue yaliyomo ndani ya moyo wa mwenzio. Ukiambiwa nakupenda jua unapendwa usijiulize maswali yasiyo na majibu.
 
Haya mambo hatutakiwi kuwa tu general ndo maana mtu unapofanya research unakuwa na sample size. kwa mfano penye watu millioni kumi wewe umehoji watano tu then ukaja na conclusions kama hizo tunategemea hiyo research finding yako haitakuwa published. ila kwa masanja alitaka kuonyesha sehemu moja ya watu wanaojifanya mambo safi lakini maisha wanayoishi ni mabaya zaidi ya mtu anaeishi uswahilini.

ukija kwenye ndoa, haya mambo yanategemea sana yanategemea sana. kwa uzoefu wangu kama mmeingia kwenye ndoa kwa mkiwa mnapendana na mnashirikishana katika kila jambo sizani kama mambo haya yanaweza kutokea. Tatizo tulionanalo sisi ni kuoa/luolewa kwa malengo fulani na pindi matazamio yako yasipotimia huna haja ya kuendlea kuwa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…