golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
well well said mpendwa ubarikiwe sana nadhani nimepata somo la kutosha nakumbuka mama mmoja kwenye ktpat alisema"wengi wenu mnaomba mungu awalinde muendako,kazini na mrudi salama nyumbani lkn leo ntawafundisha sala ambayo nayo muhim katika maombi yenu hasa kina mama,mwambie mungu baba naombea chupi ya mume wangu,naitakasa kwa damu yako,anapotoka ktk nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu,kama atavua sehemu nyengine tofauti na nyumbani kwangu basi iwe kwa jili ya haja ndogo au kubwa tu,naikabidhi ikiwa safi niliyoifua mwenyewe naomba irudi safi niifue mwenyewe amina."
Mkuu naomba nitoke nje ya mada kidogo, JE UNAWEZA NIPA TOFAUTI KATI YA LEAH NA RAHEL? NADHANI HAPO NITAELEWA SOMO VYEMA!
well well said mpendwa ubarikiwe sana nadhani nimepata somo la kutosha nakumbuka mama mmoja kwenye ktpat alisema"wengi wenu mnaomba Mungu awalinde muendako,kazini na mrudi salama nyumbani lkn leo ntawafundisha sala ambayo nayo muhim katika maombi yenu hasa kina mama,mwambie Mungu baba naombea chupi ya Mume wangu,naitakasa kwa damu yako,anapotoka ktk nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu,kama atavua sehemu nyengine tofauti na nyumbani kwangu basi iwe kwa jili ya haja ndogo au kubwa tu,naikabidhi ikiwa safi niliyoifua mwenyewe naomba irudi safi niifue mwenyewe amina."
Ndio hivo Pdidy tupo imara na tunasali sana kwa ajili ya wenzetu ila ya dunia nayo mengi, na majaribu mengi pia, kuna wakati tunadondokea uso tunasimama upya na kuendelea na safari, twajaribu kumfikia rahel ila dunia ya rahel na dunia ya sasa ya gaga ina mabadiliko mengi, hivo tunaenda hivohivo kutokana na wakati, na tunamuomba Mwenyezi Mungu atufikishe huko tuendako
Hata kwa daktari asiivue kama anaumwa?well well said mpendwa ubarikiwe sana nadhani nimepata somo la kutosha nakumbuka mama mmoja kwenye ktpat alisema"wengi wenu mnaomba Mungu awalinde muendako,kazini na mrudi salama nyumbani lkn leo ntawafundisha sala ambayo nayo muhim katika maombi yenu hasa kina mama,mwambie Mungu baba naombea chupi ya Mume wangu,naitakasa kwa damu yako,anapotoka ktk nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu,kama atavua sehemu nyengine tofauti na nyumbani kwangu basi iwe kwa jili ya haja ndogo au kubwa tu,naikabidhi ikiwa safi niliyoifua mwenyewe naomba irudi safi niifue mwenyewe amina."
well well said mpendwa ubarikiwe sana nadhani nimepata somo la kutosha nakumbuka mama mmoja kwenye ktpat alisema"wengi wenu mnaomba Mungu awalinde muendako,kazini na mrudi salama nyumbani lkn leo ntawafundisha sala ambayo nayo muhim katika maombi yenu hasa kina mama,mwambie Mungu baba naombea chupi ya Mume wangu,naitakasa kwa damu yako,anapotoka ktk nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu,kama atavua sehemu nyengine tofauti na nyumbani kwangu basi iwe kwa jili ya haja ndogo au kubwa tu,naikabidhi ikiwa safi niliyoifua mwenyewe naomba irudi safi niifue mwenyewe amina."
Pearl umenena
Unajua nakwambia mpendwa wanawake wana nguvu sana tatizo awataki kusimama kwenye nafasi zao..nawambia dada zangu ,wammama
hata mumeo ana shida gani..kimbilia maombi piga sala nawaambia leo hii akuna atakaenyanyua mkono kushusha suruali labda tatizo lililopo wengi awajui jinsi ya kusali...nimefurahi hiyo sala na zaidi ukiwa unataakasa kwa damu akikisha umetubu kwanza ..toba ni muhimusana sana kama unaweza kila ukiamka asbh soma ZAB 51 YOTE AMA NEHEMIA 1:5-11 BAADA YA HAPO OMBA UTAKASO NTAMWAGA MISTARI JIFUNZE KUSALI HUKU UNAMKUMBUSHA MUNGU MISTARI AIJALISHI UMEKREMU KICHWAN UNAISOMA MUNGU ANASEMA NJOON TUSEMEZANE ASEMA BWANA WA MAJESHI....MUNGU ANAFURAHI UNAPOMKUMBUSHA MISTARI BAADA YA UTAKASO AAMURU MALAIKA WAKUSIMAMIE WASIMAME NA MUMEO KILA AENDAKO..LABDA SIRI TUSIOJUA KILA MTU ANA MALAIKA ZAKE WENGI WANSHINDWA KUWATUMIA MTUME MALAKIKA AKAPIGANE NA MATATIZO YA BOSI WAKO MUMEO BIASHARA ZAKO SIO MAPENZI YA MUNGU KUKAA OFISI ZENYE MATATIZO..TATIZO KUNA WATU AWAJUI SISI TUNA MAMLKA KULIKO MALAIKA..UNATAKIWA KUWATUMA WAO NI WATUMISHI WETU..UNAKUTA MALAIKA AMEKAA KWA MTU MPAKA AMEOTA KITAMBI ATUJUI KUWATUMIA TUMEN MALAIKA KWENYE MITIHAN ..YA SHULE NA MENGINEYO...BAADA YA HAPO UNAKEBEA UHARIBIFU JUU YA MUMEO AMA MKEO KWA KUUTAJA YERE 1:10 UNAKEMEA UNAONDOA UHARIBIFU WOTE TATIZO LILIPO WATU WANASOMA JUU BAIBI UKISOMA YER 1:10 UNAHARIBU NA KUKEMEA KILA UHARIBU WA NDOA UHARIBU WA TUMBO LA UZAZI OMBEA MBEGU ZA MUMEO MAANA KAMA MNAANZA UJUI NANI ANA MATATIZO ...KUNA WATU WAMEKASIRIKA MKIOANA YALE MANENO YANAFANYA KAZI..SO UKISHAMALIZA KUKEMEA YER 1:10 ANAKWAMBIA PANDA..UNAAPANDA KUTOKUARIBIKA..UNAPANDA UTULIVU KWA MUMEO AMA MKEO..UNAPANDA UZAO KWA MUMEO AMA MKEO..UNAPANDA WATOTOWENYE BARAKA WATOTO WASIO NA MATATIZO YA VIUNGO WALA CHOCHOTE UNAPANDA KILA KILICHO BORA..UJUE USALIPO SHETAN ANAKUSIKILIZA UNAPOONGEA NA KUHARIBU ANAKUSIKILIZIA THEN ANARUDI LAKINI UNAPOTAMKA UNAPANDA NEEMA UNAPANDA UZAO HATA YULE PEPO WA UTASA ALIETUMWA KWAKO ANAKUWA NGUMU KUKURIBIA...SO HOPE MMENIPATA WAPENDWA MKIOMBA MSIISHIE TU KUOMBA MUNGUAONDOE MATATIZO AKISHAONDOA IWEJE..TAMKA UNATAKA NINI BADALA YA MATATIZO
Hata kwa daktari asiivue kama anaumwa?