Ndoa vs Marejesho kazi ipo! Wanawake wanakimbia tendo la ndoa asubuhi kisa marejesho

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Yaaan alieweka siku za Ijumaa na Alhamisi kazi wanayo kweli.

Mabinti wanateseka sanaaaaa na haya marejesho jamani.

Yaan hata imefika hizi siku wamamamna mabinti wanamka asbh wanakimbia tendo la ndoa kisa marejesho.

Usiku wa jtano ukiomba unyum ba unaambiwaa nawaza rejesho la kesho usinshike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…