Ndoa ya aina yake,mwanamke ajioa mwenyewe,aangusha sherehe ya nguvu!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
933
Mwanamke mmoja raia wa Marekani amewashangaza wengi baada ya kuandaa harusi na kujioa mwenyewe kwa kula kiapo mbele ya kadamnasi.Mwanamke huyo kwa jina Nadine Schweigert mwenye umri wa miaka 36 amekua gumzo kwenye vyombo vya habari kutokana na kitendo hicho cha kuandaa harusi na siku ya siku yeye mwenyewe alikua bibi harusi na huyohuyo akawa bwana harusi.
Chanzo:gazeti la Habari leo.
 
Teh, teh, teh, raha jipe mwenyewe, hata kwa kijinunulia dafu tu!
 
POA KWELI!! Hapo hakuna kuwekana roho juu..? Mara "napiga simu hapokei, meseji hajibu... sijui yuko wapi, sijui anafanya nini?" Mara "mbona leo yuko hivyo nikimuuliza jambo mkali, kama nimemkosea si aniambie.." HAKUNA HIYO ameepusha msongamano!!
 
POA KWELI!! Hapo hakuna kuwekana roho juu..? Mara "napiga simu hapokei, meseji hajibu... sijui yuko wapi, sijui anafanya nini?" Mara "mbona leo yuko hivyo nikimuuliza jambo mkali, kama nimemkosea si aniambie.." HAKUNA HIYO ameepusha msongamano!!

Sasa kule u/taifa anachezaje peke yake?
 
Bila shaka huyo atakua na tatizo la kisaikolojia wanaita Dissociative identity disorder (DID) au Multiple Personality Disorder.
 
Weaker sex among all creatures, even female dog are stronger than them, unashangaa nini!!!
 
Kajioa? Na mashine anayo? mmmmh!!!
 
Kwa misingi ya imani gani?
 
Hehee mambo ya artificial hayo, wazungu hawa watatuharibia dunia yetu!
 
atakua anafuga mbwa,nyumban,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ana msg anasend kwa dunia juu ya ndoa ama kutendwa na wanaume,,,au ni gubegube gubeli gibiligibili,,,halioleki,,,,
 

she must be Lesbian(lazima atakuwa msagaji.)
 
hii kweli dunia , kila mtu ana lake daah kujioa mwenyewe mh
 
Wanaume tupunguzieni maudhi jamani yaani mpaka amefikia hapo ameshatendwa to the maximum du shetani usinifikishe huko
 
Labda anajinsia mbili anaweza kujitimizia mahitaji yake ya mwili yeye mwenyewe maanake wenzetu ndiyo maana wanaitwa developed countries wameendelea kwa mambo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…