Hivi unajua kwamba nakuzimiaga??Manaolalamika kuhusu mada hii mara oohh mara ooh mbona mmesoma na mmecomment?? Hii ni page ya news za celebrities iwe ya udaku au real ndo mahala penyewe. Hebu tuacheni wa mikoani tupate news za bongodarisalama
Nakuzimia pia kapeace mno hujajuaga tuuHivi unajua kwamba nakuzimiaga??
Basi tunazimiana uwe na siku muzuri karibu mtukula tupo tunazindua bomba la mafutaNakuzimia pia kapeace mno hujajuaga tuu
Asante ntakuja ipo siku nikipita naenda uganda kuchukua malighafi ntakushtua.Basi tunazimiana uwe na siku muzuri karibu mtukula tupo tunazindua bomba la mafuta
Karibu sana cajojoAsante ntakuja ipo siku nikipita naenda uganda kuchukua malighafi ntakushtua.
Thank u dearKaribu sana cajojo
Na umeusoma ujinga wote ukaumaliza!!!aisee hivi kuna watu wanapoteza muda kabisaaa kuandika page kadhaa kwa ajili ya ujinga kama huu
Nawe unayafatilia ndio maana upo jukwaa hiliDaaah....watu mnajua kufatilia mambo ya watu!!!!
nasikitika sana na mimi kuwa mjinga kiasi hikiNa umeusoma ujinga wote ukaumaliza!!!
Warumi nilikumiss hatari....welcome back binamuJomoni binamu, nimerudi mbea mwenzako, miss you moree
Warumi na wakoritho miaka ya zamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jomoni binamu, nimerudi mbea mwenzako, miss you moree
Na bado upo ha ha ha karibu ubuyunasikitika sana na mimi kuwa mjinga kiasi hiki
yaaani narudi huku kwa sababu tu nimeona quote yako...ila huku hapanifai kabisaNa bado upo ha ha ha karibu ubuyu