Ndoa ya Dogo Janja na Uwoya ni fake, Wema ahusishwa

Kinachosikitisha zaidi jukwaa la intelligence sijawahi kukuona, jukwaa la uchumi halikadharika sasa jukwaa hili la celeb unategemea wadau waje na topic za kilimo cha migomba?

Tupunguze mashauzi.
kwani wewe mkaguzi wa watu kwenye majukwaa.kichwa maji wewe
 
Mmumunya ubuyu wa jamii forums upo kitambo kidogo ulikuwa nnje ya game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…