Mkuu kama unataka kufuatilia mambo binafsi ya watu Jikite kwenye magazeti ya Udaku yote hayo utayajua
Hawakuishi pamoja kwa sababu Slaa alikuwa bado kwenye parokia.. alikuwa anakuja tu usiku na kuondoka hakukaa nae kwenye roof moja..
Ndio ni kweli.....mmm unayajua eeee ulikuwa house boy wao???
Mkuu karibu kwenye harusiHayo maneno mwambie aliyeleta hii thread humu JF hivi kujua kiongozi wetu anavyoishi ni udaku...
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...
Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.
wengi tuna furaha lakini mahimbo ameumizwa sana na Dk. Slaa. mwibie mtu fedha lakini sio mke
wengi tuna furaha lakini mahimbo ameumizwa sana na Dk. Slaa. mwibie mtu fedha lakini sio mke
kwa hiyo tunafurahia Rose kamili na watoto wake wawili kuteseka kwa sababu ya penzi la Josephine na Dk. Slaa?
Ile ya kwiba mke wa mtu nayo hakuna pingamizi??????????
Kwani Jsephine amejuana na Dr. Slaa Mwaka gani ? Rose Kamili anasema walijuana Mwaka 1987. Kama wanateseka, alikuwa wapi siku zote hizo kusema ? Mpaka anapoona watu wanataka kufunga ndoa ? Duh, Tushabikie na Logic basi ndugu zangu. Nadhani pia ni maisha ya watu ( Ni family issues hizo zote, SIYO POLITICAL), tunajaribu kugeuzageuza tu ili tuone kama zinatusaidia kupunguza au kuongeza nguvu za kisiasa. But, Tanzanians today have big eyes and ears.