mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...
Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.
Huyu mzee Slaa hana maadili kabisa! Halafu kwa unafiki eti anadai hawezi kusaliti dhamiri yake! Hivi kwa padri mpaka kuzaa na Rose Kamili dhamiri yake anayodai kutoisaliti ilikuwa wapi? Au dhamiri ya babu Slaa haina tatizo na uzinzi? Yeye azungumzie siasa na vurugu zake zote kwa saizi ya kina Nape wanavyozungumzia goli la mkono nasi tutamwelewa, lakini habari ya maadili awaachie mapadri, mashehe, maaskofu waliotunza maadili ya wito wao mpaka sasa! Slaa siyo padri Bali ni padri aliyeasi! Wakati biblia anayoiamini inasema zinaa isitajwe kwenu kamwe lakini yeye imetajwa kwake mpaka mitaani! Mume original wa Josephine aitwaye Mahimbo kama sijakosea aliwahi kumlalamikia Slaa mpaka na jamii yote ilisikia!