sawa mwanalumumbaHaya mambo ya kusikia sikia haya, mnachafua majina
hakuna haja ya pingamizi. siku hizi ni revenge ya kimya kimya akuanzae mmalize baasi
Kwa mwanaume ni very risk kuoa mke wa mtu. Kwa jamii zetu hizi ambazo ushirikina umeshamiri usikurupuke kubeba beba hovyo mizigo ya watu.....hakuna haja ya pingamizi. siku hizi ni revenge ya kimya kimya akuanzae mmalize baasi
kwani christian kuna kuachana na kufikia hatua ya kuoa au kuolewa kwa mara nyingine...???..kama wa upande wa pili..
sasa huyo flora anafanya kitu gani..??..hali kadharika huyo bwana nae...??..maelekezo ya kiimani mbona yanapuuzwa kirahisi rahisi kama hivyo...???haipo mkuu
Very trueKwa mwanaume ni very risk kuoa mke wa mtu. Kwa jamii zetu hizi ambazo ushirikina umeshamiri usikurupuke kubeba beba hovyo mizigo ya watu.....
Talaka inaruhusuwa kwa sababu 1.
Mathayo 19:9 inasema : Ninawaambia kwamba mtu yeyote anayemtaliki mke wake na kumwoa mwingine, ILA kwa sababu ya uasherati, anafanya uzinzi.”SO MWENZI WAKO AKIKUSALITI AKAZINI UNA RUHUSA KUMTALIKI NA KUOA/KUOLEWA
Sasa mnajuaje km hapakuwa uzinifu,Talaka inaruhusuwa kwa sababu 1.
Mathayo 19:9 inasema : Ninawaambia kwamba mtu yeyote anayemtaliki mke wake na kumwoa mwingine, ILA kwa sababu ya uasherati, anafanya uzinzi.”
ndio tulipofika mkuusasa huyo flora anafanya kitu gani..??..hali kadharika huyo bwana nae...??..maelekezo ya kiimani mbona yanapuuzwa kirahisi rahisi kama hivyo...???
poleni sana mkuu...maombi yanahitajika...ndio tulipofika mkuu
kwanza walokole wa aina ya flora, gwajima, mwingira wamekuwa a laughing stock....
kesho wataanza kufungisha ndoa za jinsia moja, yanaanza hivi hivi