Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Baada ya Irene Uwoya kufunga ndoa Jana japo bado mume aliyefunga Naye hajamuweka wazi rasmi japo kuna uvumi ni Dogo Janja. Kutokana na watu waliohudhuria sherehe Hiyo.

Jambo la kushangaza lililowaudhi waudhuriaji ni ile Hali ya kuzuia watu wasiingie na simu ukumbini na kukataza watu kupiga picha ukumbini na kulikuwa na mabaunsa Ambao walisimamia zoezi hili ipasavyo.





 
Duh anaeoa hii manzi atakua na ujasiri maana imetembea maili nyingi mno nadhani ishakua skrepa.
Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.

Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.

Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.
 
Mwarabu atakuwa anahitaji huduma ile ya mtandao pendwa.

Angekuwa serious anahitaji mke angeoa mwarabu mwenzake ukoo wowote anachukuwa binti, qualification muhimu kwa waarabu ni pesa na yeye anazo.

Hamna ndoa hapo anahalalisha huduma tu.
Sasa kama anaenda kukokotoa hesabu za kipenyo cha tundu dogo kwanini ajisumbue kutafuta baraka za muumba wakati dini ile imekataza kama dini ile nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…