Hahaa huwa anafanyaje mkuu tupe ubuyuNkiwa dar huwa naenda kwenye pub ya uwoya akija huyo dogo yani fujo na sifa za kijinga,acha atusaidie kupunguziwa mizinga
Huwa akiona wanaume wanaongea n uwoya anapoteza sura wkti ndio wanawezesha pub iwepoHahaa huwa anafanyaje mkuu tupe ubuyu
..mbona hasira,Huyo huyo analipakua samadi hatariii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ana moyo wa nyama mwenzenuHuwa akiona wanaume wanaongea n uwoya anapoteza sura wkti ndio wanawezesha pub iwepo
Mkuu gazeti ambalo hujalisoma, halijalishi ni la mwaka gani, ni jipya kwako.Duh anaeoa hii manzi atakua na ujasiri maana imetembea maili nyingi mno nadhani ishakua skrepa.
Ndio mana nkakuambia mario mana kuna mario type mbili kuna full mario baloteli yeye analelewa tu hata bei ya kijiko hajui,halafu yuko mario huyu analelewa ila anajituma[emoji23] [emoji23] [emoji23] ana moyo wa nyama mwenzenu
Yaani kuna,watu wana hatari sana..demu limeungua hili kitambo limekaa mwananyamala kwenye councelling 4 months ..wakina nditi wa katalunya wamefumua marinda na kulipaka upupu mpka basi leo mtu anaoa..vijana wa siku hizi kufa hawaogopi kabisa
..alishawahi kukupakua,Kama ni salaah basi huyu mdada anaenda kutoa Uduma ya mtandao pendwa
Kwani kimearibika nini!?, tatizo lenu mnapenda kujiself ktk mambo yasiowahusu.Asingewaalika sasa kuliko na kuwafanyia hivyo
Hivi kwa nini watu wanamshambulia sana Irene hivi nyie wanaume wa hum mna akili kweli? Hao mademu zenu mbona na ninyi mnawala ila akiliwa Irene ndo anaonekana wa ajabu[emoji57] [emoji57] [emoji57] acheni ushamba
Kwa hiyo janja ni type 1 au 2Ndio mana nkakuambia mario mana kuna mario type mbili kuna full mario baloteli yeye analelewa tu hata bei ya kijiko hajui,halafu yuko mario huyu analelewa ila anajituma
Sasa je, roho zinawatoka kuona dogo kajisogezea mzigo kiulainiiKusema kweli Irene mzuri,hata mimi kama ningepata chance,ningeenda kucheck status yetu tu kama poa ningelisongesha.
Pesa raha sana,Bado mpaka watimie wanne
Kwasabab ushazoea kutembea uchi humu[emoji1] [emoji1]Hii ndoa ikitimiza Mwaka natembea uchi Jamiiforums nzima!
ina maana simu za waalikwa zote zilikusanywa kwenye kikapu!!!!.tabu yote ya nini si angefunga ndoa ya mkeka tu, wangehudhuria wazazi na sheikhe tu harusi kwisha