Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
- Thread starter
-
- #21
Mama D kunguru hapo yupo wazi, ni dhahiri aliyemuacha mwenzake ni Irene na katoa sababu ya kijinga kabisa kwamba hakumpenda kabla na baada ya ndoa!nani kunguru kati yao???
kitanda usicholala hujui kunguni wake!
mambo ya ndoa huwa ni magumu sana.....sipendi kuyaongelea kama siyajui uzuri
Mama D kunguru hapo yupo wazi, ni dhahiri aliyemuacha mwenzake ni Irene na katoa sababu ya kijinga kabisa kwamba hakumpenda kabla na baada ya ndoa!
Utata uko wapi au unataka ku complicate mambo?
Makosa Ndikumana aliyaanza tokea kitambo, maana yeye alimpenda pale alipoiona filamu aliyo act Uwoya ya Oprah. Na bila ya shaka Uwoya alikimbilia fedha tu, sasa ona mkaka wa watu atabaki kuumia milele kutokana na kumependa mtu asiyempenda!
Namshauri aende kwao Burundi akaoe.
Kunguru hafugiki
Kunguru hafugiki
Alafu haliki kabisa
Heeeeeeeh kumbe alitema big J kwa karanga za kuonja.Kumbe Ndikumana alikuwa na mke eeh. Kwa hiyo alitema big gee kwa karanga za kuonjeshwa; lol.
Haya sasa; akampigie magoti mkewe aombe msamaha. lol.
ile ndoa ya staa wa bongo movie irene uwoya aka oprah imevunjika. Ndoa hiyo imedumu kwa muda wa miezi 18 tu. Inasadikiwa ndoa hiyo imegharimu tshs 80,000,000.00.
Hebu cheki mahojiano haya kati ya mwandishi wa globalpublishers na uwoya;
"imelda: .......lakini kuna habari zimetua ofisini kwamba umeachana na mumeo, ndikumana, kuna ukweli wowote?
Katika hali ambayo haikutarajiwa, irene bila kuuma maneno wala kupoteza muda, alikiri kuachana na ndikumana. Maskini wee!
Imelda: Ha! Kisa nini lakini?
Uwoya: Hakuna kisa cha moja kwa moja, lakini sikuwahi kuwa na furaha katika maisha yangu ya ndoa na yeye.
Imelda: Hukuwahi kuwa na furaha? Mbona unaonekana uko sawa hata uso umezidi kupendeza?
Uwoya: Mimi ndiye ninayejua, kwanza sijawahi kumpenda ndikumana kabla sijafunga naye ndoa na hata baada ya kufunga.
Imelda: Sasa kama ulikuwa humpendi uliwezaje kufunga naye ndoa irene, tena ya kifahari?
Uwoya: Ime, ile ndoa kama nililazimishwa lakini sikuwa na mapenzi ya dhati.
Kwanza wiki moja kabla nilitaka kuondoka dar, mama akanizuia akisema nitamuaibisha."
kwa habari yote na picha pitia global publishers
mytake
kiukweli inauma sana kufunga ndoa na mtu unayempenda halafu baada ya muda anasema hakuwa anakupenda, alilazimishwa na ujinga mwingi.
sifurahii kuachana wala sifurahii talaka