Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,441
Uwoya Irene ana asili ya kushobokea watu wenye pesa/maarufu. Alimshobokea Ndikumana kwa sababu aliwika tu kidogo that time kimpira na kule kucheza nje ya nchi. Irene akiwa Uganda aliwahi acha shule akafuatana na mwanamume Mcongo wakaenda Lubumbashi, Lusaka na hataimaye kutaka kutorokea US wakivuka border ya Namibia wakakamatwa akafungwa gereza la Lusaka- Zambia huko. Ni kijidemu cha namna hiyo!
akawatukane wakina ray na kanumba aliowavulia chupi alafu wakamtafutia bwana..huyu mumewe kama mlishawahi kusoma alivyompata alikutana na kina ray akaanza kumwomba jinsi ya kumuingia haka kabinti...mwisho akahaidiwa hela nyingi sana sana na hata wakina rey usione wana hela wamekuwa makuwadi sana wa wanawake wanafanya nao pcha mbaya wanawavua wao kwanza alafu wanawauza
loh irene wakuwoooooooooooooooowaaaaaaaa
Kunguru hafugiki
Katika yote hili sikuwahi kulijua kuwa demu keshakaa lupango!!!!! Duuuuuuh kumbe hafai hata kwa kulumangia kwa kachumbari.Uwoya Irene ana asili ya kushobokea watu wenye pesa/maarufu. Alimshobokea Ndikumana kwa sababu aliwika tu kidogo that time kimpira na kule kucheza nje ya nchi. Irene akiwa Uganda aliwahi acha shule akafuatana na mwanamume Mcongo wakaenda Lubumbashi, Lusaka na hataimaye kutaka kutorokea US wakivuka border ya Namibia wakakamatwa akafungwa gereza la Lusaka- Zambia huko. Ni kijidemu cha namna hiyo!
akawatukane wakina ray na kanumba aliowavulia chupi alafu wakamtafutia bwana..huyu mumewe kama mlishawahi kusoma alivyompata alikutana na kina ray akaanza kumwomba jinsi ya kumuingia haka kabinti...mwisho akahaidiwa hela nyingi sana sana na hata wakina rey usione wana hela wamekuwa makuwadi sana wa wanawake wanafanya nao pcha mbaya wanawavua wao kwanza alafu wanawauza
loh irene wakuwoooooooooooooooowaaaaaaaa
Kim K, my ass.
Alikuwa anahojiwa na Salama akasema yeye ni mpigaji mzuri sana wa pombe hata asubuhi. Akasema pia A Y ni rafiki yake sana ila hakusema kama ni mpenzi wake
Yaani Aminata nashindwa kukuelewa kabisa imekaa poa jamaa kuachwa! Haya bana, ngoja na wewe uje upigwe chini halafu mtu aseme imekaa poa ndiyo utajua uzuri wa kuachwa.imekaa poa ila loh! sasa kwann alizaa mweh!