Ndoa ya Janet Jackson na yule Mwarabu milionea yaota mbawa

Vipi kuhusu mali wanagawana pasu kwa pasu 50/50 ama


Hii ndoa ilikuwa na prenup ya dola milioni 500, kuna watu wanaumwa vichaa inakuwaje unasaini makaratasi kwa hiyari yako mwenyewe. Bibi ni tajiri lakini bado Golddigger, tena magolddigger wengine wote watasubiri maana sio kwa dau hili. ,Mwarabu kayakanyaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…