Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Habari wakuu,
Leo ni siku kubwa ya mchekeshaji wetu maarufu Joti bwana huyu ameamua kufunga pingu za maisha.Ndoa hiyo imefungwa kanisa katoliki Magomeni.Bwana na bibi harusi wamenoga sana.
Balaa linakuja kwa mkewe katika kuangalia kwa makini huyu mkewe yupo kama hana furaha...yani amenuna fulani hivii.
Kama ilivyo kawaida bibi harusi wengi hufurahi sana baada ya kufunga pingu za maisha.tofauti na hii ndoa ya Joti yeye ana furaha zaidi ya mkewe.
Kwa upande mwingine mbona siwaoni wale marafiki wa Joti yani namaanisha wakina Mpoki, Masanja.
Je unafikiri huyu binti amefurahia hiyo ndoa au anawaza ndoano?