Ndoa ya Joti: Mke wa Joti hana raha

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Habari wakuu,





Leo ni siku kubwa ya mchekeshaji wetu maarufu Joti bwana huyu ameamua kufunga pingu za maisha.Ndoa hiyo imefungwa kanisa katoliki Magomeni.Bwana na bibi harusi wamenoga sana.

Balaa linakuja kwa mkewe katika kuangalia kwa makini huyu mkewe yupo kama hana furaha...yani amenuna fulani hivii.

Kama ilivyo kawaida bibi harusi wengi hufurahi sana baada ya kufunga pingu za maisha.tofauti na hii ndoa ya Joti yeye ana furaha zaidi ya mkewe.

Kwa upande mwingine mbona siwaoni wale marafiki wa Joti yani namaanisha wakina Mpoki, Masanja.

Je unafikiri huyu binti amefurahia hiyo ndoa au anawaza ndoano?
 

Attachments

  • index.jpeg
    23.2 KB · Views: 155
picha kudhibitisha ulisemalo!
 
What is marriage?

Comrade Mugabe says;

Marriage is a gathering of people, where by two of them are thinking about sex and the rest are thinking of food[emoji23] [emoji23]
 
Je na picha zote hana raha isije kua mmemuotea hio mkahisi zote hana raha
 
Kwenye ibada za katoliki kuna maeneo waumini huwa relaxed sana hasa wakati wa mahubiri hadi wengine husinzia..hivyo tumchukulie ni moja ya nyakati hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…