The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Jibu zuriiiiifuraha ya mtu ipo moyoni, usoni ni tabasamu na kicheko
Hili ndo jibu sahihi na mjadala ufungwe.furaha ya mtu ipo moyoni, usoni ni tabasamu na kicheko
uko sahihi mkuuWabongo wape picha tu Maneno waachie.
Haya makanisa haya,dah,Katoliki wanaruhusu upuuzi kama huu,kweli Pengo kazeeka.Kanisa limemruhusu kufunga ndoa na hicho kiduku?
Aisee.
Kwanza kwenye mafunzo ya ndoa angetakiwa ambiwe mapema kabisa.Haya makanisa haya,dah,Katoliki wanaruhusu upuuzi kama huu,kweli Pengo kazeeka.
Kanisani kuna sanamu za Yesu yupo msalabani na kitaulo tu.Haya makanisa haya,dah,Katoliki wanaruhusu upuuzi kama huu,kweli Pengo kazeeka.
Hahaaaaaaaa labda pastor hakuonaKanisa limemruhusu kufunga ndoa na hicho kiduku?
Aisee.
Huyo siyo Yesu ni sanamu.Kanisani kuna sanamu za Yesu yupo msalabani na kitaulo tu.
Sijaelewa point yako ni nini hasa.
Vipi wanaovaa mawigi humo kanisani!?Kwanza kwenye mafunzo ya ndoa angetakiwa ambiwe mapema kabisa.
Vipi wanaovaa mawigi humo kanisani!?Kwanza kwenye mafunzo ya ndoa angetakiwa ambiwe mapema kabisa.