Ndoa ya Joti: Mke wa Joti hana raha

Kuna watu hawabebeki, yaani hakuna lililojema kwao hasa linalomhusu mwanamke.

Kuna waliokuwa wanashangaa kwa nini ma bi harusi wa siku hizi wanacheka cheka, kufurahi na ku dance kwa sana tofauti na ma bi harusi wa zamani ambao walikua wakilia siku ya ndoa? Walikwenda mbali na kusema ma bi harusi wa zamani hawakua wanacheka chrka na kwenda mbali zaidi kusema hao wa zamani walikua wakilia ndio ma bi harusi wa ukweli.

Mke wa Joti kawaprove wrong hao waliokuwa wakishangaa ma bi harusi wa zama hizi, kwamba hata ma bi harusi wa zama hizi hawachekicheki.
 
Ila hicho kiduku kanisani jamani utandawazi huu!!!
 
Hapo ni kanisani ndugu wanasikiliza mahubiri wacheke nini sasa
 
Labda sura yake Ndivo ilivo mwingine sura yake inaweza onyesha kutabasam kumbe amekasirika, ila joti nae huko kichwan [emoji3]
 
Mi nilijua jamaa anatengeneza tangazo,kumbe ndoa,hongera zake Bw.Joti.!
 
Ila kuingia kanisani na kiduku hicho.......mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…