Ndoa ya kiserikali

Ndoa ya kiserikali

aspen

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
501
Reaction score
166
Wakuu utaratibu wa ndoa ya kiserikali upoje kwa wenye uelewa mtusaidie kwa hili tafadhali
 
Unataka kufunga ndoa ya kiserikali au unauliza kama kama bado zipo?
sijakuelewa
 
Ndoa za serikali ziko
na utaratibu wake ukitaka kuuuelewa vzr nendo kwenye ofiso za wakuu wa wilaya )Bomani(
 
Back
Top Bottom