Ndoa ya Majey na Lulu Mkuu wa mkoa ndani ya kamati

Huyu huyu kunenge au inamuhusu bashite on personal, jamaa alikuwa anatumia vibaya Sana office
Ona some of his unfinished private issues zake zinavyoweza kukonfuse ofice
 
Huu sasa ni uchawi, kumfunga mtoto wa mwenzako asichumbiwe na kumuoa humuoi.
Wapo wengine nimewasahau kidogo majina mmoja ni mtayarishaji wa nyimbo hizi za vijana ni wa kaskazini yule kijana na binti mmoja msanii ni wachumba wanaopendana sana miaka 20 itakuwa imefika,ubwabwa wao huenda bado haujalika.
 
Ana
Ana haki zote za kuolewa tumwache afaidi na afaudiwe na Allah S.W amjalie watoto kama wote.Naombeni namba nimchangie
 
Hakuna ndoa pale na atastukia umri wa kufunga mahesabu umefika af Majizo anapiga chini anaoa kimwana kingine .... Ajifunze Kwa wenzake akina wema , wolper ,Jokate status inambeba Ila na yeye achangamke miaka miwili ijayo la sivyo atakuwa gubu .....

Kuna umri fulan bint ukiuchezea ukawa unawakataa wanaume kisa uruke ruke , ukishapita unakuwa wa kupigwa na kuachwa , tena ukishazalishwa na ukaachwa ukawa single mother ndo kabisaaa..wanaume wanapitia hvi na hata ukimpata anakuwa Hana mapenz ya dhati....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…