Jirani yangu hao Martha na John Said(mumewe).Kanisa lao linatupigiaga kelele tu mtaani
Kam ndiye huyo basi hapo mwanaume ndiyo amemkimbia mwenzake...
Martha Mwaipaja ndoa chini, Bukuku chini, Mbasha chini,wana nini hawa waimbaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaAna sura ngumu...kama siku ya harusi ndio kapigwa make up lkn bado muonekano ndio huu.
Samahani lkn