Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.
Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.
Ugomvi wao mkubwa ni huo, wanadhani wataushinda utamaduni, nahisi wanajidanganya.
nawe kama co umbea mkuu,mambo ya wa2,tena ya faragha,we umeyajulia wap jaman?Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.Ugomvi wao mkubwa ni huo, wanadhani wataushinda utamaduni, nahisi wanajidanganya.
Bujibuji mshauri jamaa yako ajitahidi ili mchina aadopt utamaduni wetu, mchizi aendelee kumbana hivyo hivyo. Amweleze wazi huyo mchina kuwa amevunja mwiko kwa KUMPENDA MTU ASIYE NA WOWOWO, WA'AFRIKA TUNAPENDA WANAWAKE WENYE VICHUGUU, Mchina hana so asiwe mbishi!Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.Ugomvi wao mkubwa ni huo, wanadhani wataushinda utamaduni, nahisi wanajidanganya.
Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.
Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.
Ugomvi wao mkubwa ni huo, wanadhani wataushinda utamaduni, nahisi wanajidanganya.
ameambiwa na wewe umbea umekujaje?nawe kama co umbea mkuu,mambo ya wa2,tena ya faragha,we umeyajulia wap jaman?
kuna kipindi kila wakienda out kwenye migahawa ya kichina, binti akawa anakutana na wenzake, wakianza kuongea kikwao yanapita zaidi ya masaa matatu ndipo binti anamkumbuka mshikaji kwa kumuuliza viswali viwili kisha anarudi tena idhaa ya Beijing.
Kuna siku jamaa akamleta kwenye baa za uswahilini, wacha tumuweke binti pending...
Sasa wamekubaliana wakitoka hamna kukutana na marafiki
Ukitaka usicheke usisome post za bujibujidah umenchekesha we kaka jaman...!!!!!!!!!!!