kuna kipindi kila wakienda out kwenye migahawa ya kichina, binti akawa anakutana na wenzake, wakianza kuongea kikwao yanapita zaidi ya masaa matatu ndipo binti anamkumbuka mshikaji kwa kumuuliza viswali viwili kisha anarudi tena idhaa ya Beijing.
Kuna siku jamaa akamleta kwenye baa za uswahilini, wacha tumuweke binti pending...
Sasa wamekubaliana wakitoka hamna kukutana na marafiki