Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

Joined
Jan 12, 2015
Posts
55
Reaction score
19
Ndoa ya Lazaro Nyarandu ambaye ni waziri wa Maliasili na Utalii na mrembo Faraja Kota iko 'ICU'

Kwa mujibu wa Mwanafamilia wa Waziri huyo hapa Arusha amehabarisha kuwa wawili hao kwa sasa wametengani sababu ikiwa ni kukosa uaaminifu kwa bwana Lazaro.

Kwa sasa Nyalandu yupo kwenye Hekalu lake Njiro Jijini Arusha na Faraja yupo kwa wazazi wake Dar es salaam.

Nyalandu anatuhumiwa kujirusha na vimada kwenye mahoteli makubwa hasa ya New Africa akiwa Dar es salaam ana hata nje ya Nchi.

Kilichomtia nyongo zaidi ni tuhuma za hivi karibuni kuwa mimba ya Aunty Ezekiel ni yake naame wanaendeleza uhusiano huku wakitaraji mtoto wakati wowote.

Nyalandu kwa sasa anahaha kumtuliza mkewe kwa kila jinsi na leo amemtumia ujumbe kupitiakipindi cha Clouds FM cha Leo tena kuwa anampenda sana na ni tulizo la roho yake.

Pia anahaha kunusuru ndoa yake ili ajiweke vizuri katika nia yake ya kugombea Urais October 2015.
 
Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.
 
Chief Nanga
 

Wa CHADEMA ndo wasafi? Zitto na Diva je? Mbowe na mbunge viti maalumu? Slaa na mke wa mtu? Tupishe kuleee.
 
Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.
Nyalandu siyo Mnyiramba bali ni Mnyaturu
 
Kwa dili alilokula Saudi juzi, anamjambisha hadi mamvi sa hivi. Pesa ndefuuuuuu waambiwa.

Mambo ya siasa za Tanzania ni kizungumkuti...

Wapo wanaotaka uprezidaa ili tu kusafisha nyota...

Wapo wanaoutaka uprezidaa ili walipize kisasi kwa wale wote waliowapa hard times...

Hata hili la kuachana na mkewe inaweza kuwa ni porojo tu ya kisiasa kuharibiana mitkasi za kusonga kisiasa...
 

wakati wa ujana walikuwa walugaluga sasa hivi wanapitia stage iliowaruka.
 
Nyalandu we tafuna warembo, acha nao watafunemo mkwanja wa utalii. Ila habari ya kuwa raisi wa JMT utaisikia bombani na dual citizenship yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…