Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Ninamfahamu jamaa mmoja na apesa zake but kazalishiwa mkewe watoto 2, mzalishaji/baba wa hao watoto ni mfanyakazi wa kawaida kabisa. Mume wa huyo mke ni mfanyabiashara wa madini so si kweli kamba all the time pesa inaamua hatima ya mapenzi yenu.
Fedha siyo jibu la kila kitu, Wavulana hawaelewi!!
 
Huo mm naita upuuzi nikutafuta matatizo mnaotaka kupima dam watoto wambieni nababa zeni wakapime dam zen
 
Ninamfahamu jamaa mmoja na apesa zake but kazalishiwa mkewe watoto 2, mzalishaji/baba wa hao watoto ni mfanyakazi wa kawaida kabisa. Mume wa huyo mke ni mfanyabiashara wa madini so si kweli kamba all the time pesa inaamua hatima ya mapenzi yenu.
Mtu anakuwa na pesa zakutosha / kazi nzuri lakini muda wakuwa na mkewe hana au hana tu uwezo wakutungisha, pesa si kila kitu kwenye maswala ya mapenzi au ndoa
 
Mwambie hata wewe, dunia hii siyakujisifu kabisa
 
Mtu anakuwa na pesa zakutosha / kazi nzuri lakini muda wakuwa na mkewe hana au hana tu uwezo wakutungisha, pesa si kila kitu kwenye maswala ya mapenzi au ndoa
Kwahiyo unakubaliana na mimi kwamba security ya ndoa sio PESA kama niliyemnukuu alivyo sema!?
 
Ulikuwa lofa tu
 
Acha uongo
 
Malaya pia huolewa!!!
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…