Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Ndoa ya mwanasiasa na msomi Anthony Mavunde iliyofungwa jumamosi ya Tar 27 yafana, ndoa hiyo iliyo hudhuriwa na viongozi, wanasiasa na watu mashuhuri nchini inatajwa kuvunja rekodi ya mkoa wa dodoma.
Anthony Kijana wa meya mstaafu wa Dodoma na MTU anaetajwa kuwania ubunge wa mji wa Dodoma.
Harusi hiyo ili hudhuriwa pia na waziri mkuu Mh.Mizengo pinda
Anthony Kijana wa meya mstaafu wa Dodoma na MTU anaetajwa kuwania ubunge wa mji wa Dodoma.
Harusi hiyo ili hudhuriwa pia na waziri mkuu Mh.Mizengo pinda