Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Ndoa ya mwanasiasa na msomi Anthony Mavunde iliyofungwa jumamosi ya Tar 27 yafana, ndoa hiyo iliyo hudhuriwa na viongozi, wanasiasa na watu mashuhuri nchini inatajwa kuvunja rekodi ya mkoa wa dodoma.
Anthony Kijana wa meya mstaafu wa Dodoma na MTU anaetajwa kuwania ubunge wa mji wa Dodoma.
Harusi hiyo ili hudhuriwa pia na waziri mkuu Mh.Mizengo pinda
samahi mkuu kati yao hao wanandoa nani ni celeb?
Haaaaaah. Nimemkumbuka tu mshikaji wangu, kiongozi kijana shupavuDuh hii fukua makaburi hii balaa, nikatoka mbio nikidhani kuna jipya kwenye hiyo ndoa kumbe wapi!!
Sijui ni njaa au kujikombaHaaaaaah. Nimemkumbuka tu mshikaji wangu, kiongozi kijana shupavu
Vyote kwa pamojaSijui ni njaa au kujikomba
Halafu wewe mwenzangu wa kaskazini usifanye hivyoSijui ni njaa au kujikomba
Kaskazini sijakuekewa au maana kaskazini ndio kwetu.huko nilisoma tu kwetu kiasiri Mwanza acha kujikomba au wewe ni Mavunde mnaona Bashite anawafunika mnafukua nyuzi za miakaHalafu wewe mwenzangu wa kaskazini usifanye hivyo
Punguza tamaa mkuu nenda kwa Mange ukaone tamaa ilivyomponza Lucy Mayenga alivyoharibiwa 0715Vyote kwa pamoja
Hii tabia ya Ukaskazini itawaponza milele.Halafu wewe mwenzangu wa kaskazini usifanye hivyo