Ina maaana Mrema na ushushu wake hakufanya due dilligence? Sasa mbona anadaiwa kupora mke wa mtu? π Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata na kusemekana kuwa ni batili kufuatia uwepo wa madai kuwa mwanamke aliyefunga nae ndoa, Doreen Kimbi...
www.jamiiforums.com
Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu.
Doreen aliolewa April 2012, NDOA YA KATOLIKI na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata watoto wawili. Cheti cha ndoa kipo hapo chini na kimesajiliwa RITA
Doreen na Fredrick Mushi Hawakupata divorce na kama tujuhavyo ndoa za KATOLIKI ni mpaka kifo kitenganishe.
Aliulizwa aliwahi kuolewa na majibu hapo chini ndio aliyatoa
Your browser is not able to display this video.
Aliolewa tena na Mrema kwa jina la uongo ili asiwekewe pingamizina ndio kama mnakumbuka zile hekaheka za kuweka watu wa uongo kujifanya Doreen na kuvaa Miwani kama jambazi siku ya harusi na Mrema.
In summary Doreen
Kwa ndoa yake na Mrema alitumia jina kabisa lingine la uongo Doris Mkandala.
Uamihaji na Magereza aliforge vyeti alikuwa anajiita Doreen Mkandala na alitumbuliwa kwa vyeti feki kipindi cha Magufuli.
Ndoa ya kwanza alitumia Doreen Kimbi ambalo ndio linajulikana kila sehemu.
Na pia kuna tetesi alishawahi kuolewa tena huko Mbeya
Huyu Doreen asije akawa kwenye kigroup cha organised criminals, police wachunguze huyu mtu.
Kanisa katoliki itabidi liwajibike ni aibu kubwa. Police waingilie kati wajue huyu Doreen ni nani has before hajatafuta next victim.
β¦οΈ Yawezekana kuna certificate of divorce kanisa katoliki haliwezi kukurupuka bila kufanya due diligence kujua kuwa walikuwa nda ndoa kabla
β¦οΈ Yote kwa yote sidhani kama kumbukumbu vyeti vya ndoa vinatunzwa kidigilal hivyo ni rahisi huyo dada kuikana hiyo ndoa ya awali otherwise mume wake halali awe upande wa watoto wa mrema
β¦οΈ Kwa mujibu wa sheria ya ndoa kama itathibitika kweli kwamba alikuwa na ndoa monogamous ambayo haijavunjwa na mahakama na kutolewa hati ya talaka basi hastahili kupata kitu chochote cha marehemu hata kama aliacha wosia na zaidi ya hapo anatakiwa kushtakiwa kijinai