Ndoa ya msanii muigizaji Jacqueline Pentzel na Gadna Dibibi imevunjika!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Na Mwandishi Wetu/Ijumaa
NDOA iliyodumu kwa miaka miwili na nusu kati ya mwigizaji wa filamu Jacqueline Pentzel na Gadna Dibibi imevunjika, Ijumaa lina mkanda kamili.
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Pentzel. Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao waliachana baada ya kutuhumiana kutoka nje ya ndoa yao, jambo ambalo baada ya kuvumiliana kwa muda mrefu, hatimaye wameamua kubwaga manyanga.Inadaiwa kwamba kwa zaidi ya miezi miwili iliyopita, mume alikuwa ameshahama nyumbani kwao Mbezi kwa Msuguri walikokuwa wakiishi na kuhamia Ilala na Kijitonyama kwa ndugu zake.Baada ya taarifa hizo, gazeti hili liliwasiliana na Gadna ambaye alisema:

“Ni kweli tuna wiki kama mbili tatu hatupo pamoja, kuna mambo tumeshindwana, na kweli nimemwandikia talaka na kila mmoja sasa anaishi kimpango wake,” alisema Gadna.
Jacqueline Pentzel na Gadna Dibibi siku ya ndoa yao. Naye Jack alipopatikana alikiri kutokea kwa jambo hilo na kwamba talaka yake imeshaandikwa, isipokuwa bado hajaenda kuifuata Kijitonyama kwa ndugu wa aliyekuwa mumewe.Licha ya kudaiwa kuwa ishu ya uchepukaji ndiyo sababu, hakuna aliyekuwa tayari kufunguka juu ya hilo.

 
imechelewa sana kuvunjika,hongera zao wamekaa siku zote hizo

Jamaa amevumilia kugongewa mke hadi ameamua kubeba kilicho chake akaenda kwa ndugu zake na akaandika uko talaka
 
Naona ujasiri umemuisha!maana maamuzi ya kumuoa mtu kama huyo inabidi ujifyatue akili kwanza wala kutaka ushauri iwe kwa ndugu au rafiki.
Kisha harusi haina michango unamaliza yote mwenye we.
 
M/Mke wa sampuli hizo kuoa ni kujitakia mwenyewe, hapo lazima usaidiwe tu
 
Aya majina ya Gadna bhana ya nn mwaka huu wapi kaka Captain G Habash habar zako binafsi
 
huyu binti kachanganya dam zipi?
 
It is widely believed that the most common reasons for Divorce are;
1. Infidelity
2. Lack of Mutual Trust
3. Financial
4. Communication Break down

5. Constant Arguing
6. Unrealistic Expectations

7. Lack of Intimacy
8. Lack of Tolerance
9. Not being prepared for Marriage
10. Physical and Mental Abuse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…