Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Ndoa ya Muigizaji wa Bongo movies Shamsaford na Chidd Mapenzi imeingia doa, kisa na Mkasa Bado Hakijawekwa Wazi..

Chanzo cha habari Shamsa mwenyewe kama inavyoonekana pichani

Hapa akimjibu shabiki wake
 
Hii ndoa imemrudisha nyuma sana Shamsa Ford kikazi. She was doing very well with her career na alikuwa na kiu ya kweli ya kufika mbali lakini tangu aolewe naona akawa doro.

Kwa sasa vile yuko huru, afocus tu kwenye kazi yake na aende mbele kwa mbele. Kwanza ni motivation nzuri kwake ya kukimbia kwa spidi zote vile now she calls the shots all by herself once again.

All the best kwake. Muhimu ameshatoa gundu.
 
Sidhani kama kuna msanii yeyote hasa wa bongo movies kama amewahi kudumu kwenye ndoa mpaka kifo kiwatenganishe. Binafsi nishawazoea. Kesho na kesho kutwa utasikia kaolewa na Dogo janja halafu baada ya siku 19 utasikia wameachana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…