Hebu m-tag warumi atuambie kama ndoa ya uwoya ilikuwepo Au Dogo alipoozwa azuge ameoa? Kwa maslahi ya nani na ili iwe nini atusaidie huyo dada.Hili nalo ni tatizo kwenye ndoa nyingi, sema na hawa ma star hawapendi kuzaa japo wanapenda kuolewa,
Angalia shilole, riyama, uwoya, sister fey hawa wote waliolewa kwa ndoa lakini waligoma kuzaa. Siamini kama wote ni uzazi.
Wapo wengi tu kina Swebe Santana mpaka Leo yuku ktk ndoaSidhani kama kuna msanii yeyote hasa wa bongo movies kama amewahi kudumu kwenye ndoa mpaka kifo kiwatenganishe. Binafsi nishawazoea. Kesho na kesho kutwa utasikia kaolewa na Dogo janja halafu baada ya siku 19 utasikia wameachana!
Ila umeshawahi kusikia ndoa za aina hiyo? Za kushikia Mtu?Ile ndoa ilikuwa ni ya kweli kati ya janjaro na uwoyo. Wala siyo alimuolea mtu.
Mimi Nina uhakika kabisa.
Acheni kupewa nawanawakeHivi ukiwa star lazima uolewe na star?mi nadhani hapa ndio tatizo linapoanzia...
Shamsa alikuta chid kashafuli mda mwingi tu. Huyu bwana kazi yake ni kwenda China kuzungusha wafanya biashara wapya kwenye machimbo ya bidhaa.pesa za sembe zimeisha ameamua kusepa
Sijakuliza chochote.dereva boda boda
sijakuelewa mkuu..!Acheni kupewa nawanawake
Acha ivunjike tuu, ndoa tangu imefungwa hamzalii mume anategemea nini.
Raha ya ndoa ni KUZAA na siyo kwenda kulea mtoto wa mke wako uliomkuta naye. Mdomo koma
Wewe kama ni me acheni kuhongwa pesa na wadada .sijakuelewa mkuu..!
kwahiyo ukihongwa na mwanamke ukatae..?Wewe kama ni me acheni kuhongwa pesa na wadada .
Shamsa aliolewa akiwa mjamzito[emoji40]Acha ivunjike tuu, ndoa tangu imefungwa hamzalii mume anategemea nini.
Raha ya ndoa ni KUZAA na siyo kwenda kulea mtoto wa mke wako uliomkuta naye. Mdomo koma
Ndio mfundishe kupewa sio kutoakwahiyo ukihongwa na mwanamke ukatae..?
acha uongo duka la nguo lilikuwa la chidi.,, shamsa alinunuliwa na gari kabisa, asingekubali kuolewa na mwanaume hana helaShamsa alikuta chid kashafuli mda mwingi tu. Huyu bwana kazi yake ni kwenda China kuzungusha wafanya biashara wapya kwenye machimbo ya bidhaa.
Sawa nimekuelewa..Ndio mfundishe kupewa sio kutoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio wakina nani hawa mnao wajadili kwani...!!??
Maana minaona pua kubwa tu hapo..teh!