Ndoa ya ngasa

Freddy81

Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
99
Reaction score
3
Mshambuliaji hatari wa timu ya soka ya Yanga, Mrisho Ngassa amepatia “jiko”. Amemuoa Latifah Abdulhaman. Ndoa ilifungiwa huko Tabata Kisiwani.

Hivi karibuni Ngassa alikuwa nchini Uingereza kufanya majaribio ya kuchezea timu ya West Ham. Habari zinapasha kwamba sehemu ya kwanza ya majaribio hayo ilikwenda vizuri na kwamba kunako majaaliwa Ngassa atarejea tena nchini Uingereza kwa majaribio mengine.

Ninawatakia Mr.& Mrs Ngassa kila la kheri katika ndoa yao.


Lakini Je ataweza kweli kumantain his career.. lakini ana umri gani?
 

Attachments

  • ngassabc[1].jpg
    24.7 KB · Views: 75
Mods unganisha na ile thread ilasha wekwa hapa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…