Ndoa ya Regina Daniels , Siri nzito yaibuka, Baba mzazi afunguka.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ikiwa ni siku chache zipite, toka kutambulishwa kwa muigizaji kinda kwenye kiwanda cha film nchini Nigeria , Regina Daniels kwa wake wenzie watano, Baba mzazi aibuka na kulaani kitendo cha Mzee nokwo kumuoa binti yake ambaye kiumri ni mdogo kumzidi Billionare Mr Nokwo.


Mzazi anafunguka kuwa Regina Daniels hakuzaliwa Mwaka 2000 kama watu wanavyoamini, Bali alizaliwa October 10 2001 , hivyo mwanae Ana miaka 17 na sio 18 kama wengi wanavyoaminishwa.

Pili Mzee huyo anaendelea kufunguka kuwa Mr Nokwo na yeye , hana miaka 59 kama Anavyosema, Ila ana miaka 62 hivyo ni kaka wa baba wa Regina kiumri, na hata walivyokua wadogo waliwahi kuishi Nyumba moja na kucheza na mzee huyo, hivyo anamjua vilivyo Mr Nokwo.


Pia Mzee amelaani vikali kitendo cha mama Regina kukubali kumuozesha mwanae kwa ajili ya njaa ya Pesa .

Mmh jamani mbona mambo mazito, na nyie wazee muwe mnajitahid kuwapa malezi bora watoto Wenu bana , huyo Regina kama angekua na malezi bora na anapata kila kitu asingethubutu kuolewa na mzee umri kumzid hata baba ake

Khaa bora hata shoga angu lulu atleast majizo wanaendana japokua wamepishana umri kama miaka kumi Ila ukiwaangalia kwa Kweli wanaendana huwez ku spot a huge gap iliyopo, ndio Maisha ya Vijana wa yahoo. Com
 
Hako katoto kazuri,hata Mimi ningekuwa babu ningeoa katoto kabichi na kazuri..
 
Kusema kweli kizazi cha sasa cha wanawake walio wengi wanakuwa inspired na wanawake wadangaji na ndio maana kujilipua kuolewa na mababu hawaoni tabu.
 
Aaaaaaaah! Naomba kuuliza hivi huo mtalimbo haiwezi kuingia ndani ya K ya huyo dogo dogo?

Baada ya miaka kama 8 huyo mzee atakufa, atapata njemba zitakuwa zinasugua kwa raha zao tu.

Nadhani, atakuwa ameshapevuka kiakili hasa!

Unadhani hata Huyo Jack usishangae mgongaji hakuwa Hussein peke yake, hata dereva kuna siku akawa amepata bahati ya kumwaga mikojo hapo bwawani.
 
Sijui kwa nini mnalalamikia umri daily...
 
Siku zinavyozidi kwenda ndivyo jinsi wanawake wanazidi kupungua size ya ubongo na kuongezeka size ya makalio.......

Hapo shida mnaona Ni mwanamke tu

Vipi huyo babu kutaka kabinti hamuoni Kama naye kichwani hazimo??

Acha ujinga wa kuwatuhumu wanawake kila jambo.
 
Kumbe ni family zinazofahamiana basi probably ile rumuor kwamba Reg ni mtoto wa adv Nwonko ni kweli
you don't saaay!
So inawezekana sio mume bali ni baba!
huhuhuhuhu warumi njoo we nyau!
heb fatilia hii utuletee ubuyu kamili!
mamake Regina nae sio wa kispoti!
 
Jamani Kama jegelele linapita hakuna shida happy,hayo maswala ya umri hayana uzito wowote
 
Regina ni mke wasita 6 sio wa tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…