Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

Halafu nilishagundua mashoga wengi wanapendwa sana na wanawake, sijui kwanini ?

Sababu wanawake wakiwa na mwanaume shoga wanajisikia salama. Kusema ukweli, wewe kama ni mwanaume lijali urafiki na demu haiwezekani, kwasababu unaweza kujizuia vya kutosha lakini kaa ikijua iko siku itatelezea ndani tu hata kwa bahati mbaya
 
Hiii sijui ukoje aiseeeh.

Gays are multi talented.
Yaaaaaani yaaani unamkumbuka Paco Decor?
Dah!
Basi tu ile fags ni noma wen it comes to talents.
Rio pia namwangaliaga nasema inhii..wanakuwaga na vitu vya ziada aise
 
Dogo dullvan Nina uhakika wanampumulia saivi

Alianza mdogo mdogo kuiga wanawake saivi anasuka na kuvaa hereni bila shaka na tako wanamshika[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Acha kukurupuka
Kwa akili yako ndogo unadhani kati ya hao wawili hakuna anayetambulika kama mke?
Yaaani unatarajia wanaitana mume mume?

Uwe unasoma basi hata mada yenyewe,usikurupuke kukosoa ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23] Ila ujue jamaa hapo ana hoja ya msingi kabisa. Kwamba kama wakifunga ndoa watu wa jinsia moja haitakiwi kuitana mume na mke.

Ni aidha mume na mume yaani wote wanaume au kama ni ya wanawake ni mke na mke.

Kwasababu kama walitaka kutafuta mke in the first place wangefukuzia mwanamke na kwa wanawake kama alitaka mume in the first place angetafuta mwanaume.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila hawa jamaa kimsingi ni tatizo la kiakili, sababu sijawahi kuona illogical and senseless argument kama ya kutetea ndoa ya jinsia moja. Ni completely clinical madness. Hawa jamaa alikuwa anawawezea Adolf Hitler tu, yule dictator wa Ujerumani. Alikuwa ana deal nao kibabe sana.
 

Hoja yake ya msingi lakini namna alivyoiwasilisha kiubabe sijataka kuielewa...kama mtu anajua zaidi kwanini asielekeze bila kuleta ujuaji wa kukashifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…