Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.

sipnah

Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
24
Reaction score
50
Dah! Huyu Dada mbona anapitia mitihani migumu hivi!? Nimesikia uchungu mno baada ya kuona kwenye mitandao kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na nikapata uthibitisho kwenye radio kipindi cha Dida.

Kwanza kabisa namuombea apone then mengine ndo yatafuata.

===========

Update: MUME WA WASTARA, SADIFA JUMA AFAFANUA KWA UNDANI KILICHOTOKEA



 
nyota ya popo!/
Ni hii ndoa ya juzi na mheshimiwa Fulani au?



mh.awe na roho ya ubinaadam tafadhali,apate sunna.
 
Dah huyu Dada mbona anapitia mitihani migumu hivi!? Nimesikia uchungu mno baada ya kuona kwenye mitandao kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na nikapata uthibitisho kwenye radio kipindi cha dida. Kwanza kabisa namuombea apone then mengine ndo yatafuata.
Atahisi dunia inamzomea. Nyota zingine Allah ndo anajua.
 
Maelezo ya kina tafadhari kwa mfano, Wastara anajishughulisha na ...................
Aliolewa tarehe ...................na fulani .......
Kaachwa kwa sababu ya ......................
Sio wote tunawajua watu wote hapa mjini.
 

Mkuu kama hujui yote haya kuhusu huyu dada basi ujue habari haikuhusu.

Anyway, mimi pia simjui nasubiri ujibiwe na mimi niokotezee hapo.
 
Dah huyu Dada mbona anapitia mitihani migumu hivi!? Nimesikia uchungu mno baada ya kuona kwenye mitandao kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na nikapata uthibitisho kwenye radio kipindi cha dida. Kwanza kabisa namuombea apone then mengine ndo yatafuata.
Imevunjika kwa sababu zipi?yamkini yeye ndo mwenye shida!
 
nilijiuliza sana kama huyu wastara angeweza kuvutiwa na matusi ya Sadif..... hadi akaona ndiye awe baby wake!?
tabia ya SDF nje ya Lugha za msalani, hawezi kumshawishi mtu kuwa naye karibu. WSTR kaponzwa na tamaa ya ku-do
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…