lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
jamani ile ndoa tuliyoambiwa ingefungwa mwezi may kati ya mond na zari imeishia wapi? au ndo mambo ya kutafuta kiki? maana imekua kimyaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana! wenzako tushakula ubwabwa wa harusi mpaka tumesahau...now tunasubiria wa kibeseni cha princess
hakuna cha harusi wala wedding,mtajibeba
pole sana!
Ulitaka mualiko nini
hakuna cha harusi wala wedding,mtajibeba
Ivi unajielewa wewe? Hujui kama ile ilikuwa ni kwa ajili ya project yao ya zari white party? Usiwe unakurupuka kama hujui mambo
Watanzania wanaamini ndoa kufungwa mpaka waone tarumbeta. Nakumbuka Marlow na besta walifunga ndoa kimyakimya wakaja kutangaza wakiwa wanaishi mke na mume halali. Ndoa inaweza kufungwa na wahudhuriaji kumi tu
ata kaka kama lakini ule mzigo si wa katunzi na monds hana chake pale
Tehe tehee hahahaaaa ndoa bongooo...
Hivi vitu hufanyikaga hata mbele ili kumpa MTU kiki km labda Ana album inakuja au anataka kujitangaza.....km kipindi kile Beyonce n rehhana wanatoa album ikaja ishu eti rihanna anatembea na jay z...waliowavivu kufikiria wakashikia bango mpk basis kumbe zilikuwa kiki tu
chezea ndoa wewe jamaa kapata KIKI, mara kimyaaaaaaaaa