Ndoa ya Zari na Mond imeishia wapi?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
jamani ile ndoa tuliyoambiwa ingefungwa mwezi may kati ya mond na zari imeishia wapi? au ndo mambo ya kutafuta kiki? maana imekua kimyaaaaaaa
 
pole sana! wenzako tushakula ubwabwa wa harusi mpaka tumesahau...now tunasubiria wa kibeseni cha princess
 
Ivi unajielewa wewe? Hujui kama ile ilikuwa ni kwa ajili ya project yao ya zari white party? Usiwe unakurupuka kama hujui mambo

ndio mlivyodanganywa? kwa taarifa yenu mlipigwa changa la macho, poleni sana
 
Watanzania wanaamini ndoa kufungwa mpaka waone tarumbeta. Nakumbuka Marlow na besta walifunga ndoa kimyakimya wakaja kutangaza wakiwa wanaishi mke na mume halali. Ndoa inaweza kufungwa na wahudhuriaji kumi tu
 
Watanzania wanaamini ndoa kufungwa mpaka waone tarumbeta. Nakumbuka Marlow na besta walifunga ndoa kimyakimya wakaja kutangaza wakiwa wanaishi mke na mume halali. Ndoa inaweza kufungwa na wahudhuriaji kumi tu

ata kaka kama lakini ule mzigo si wa katunzi na monds hana chake pale
 
ata kaka kama lakini ule mzigo si wa katunzi na monds hana chake pale

Sijui Lusekelo hii siri anaijua boss lady pekee kama ujuavyo mama ndio mwenye uhakika wa nani baba wa mtoto.
 
Waliaminishwa HV HV siku ile wema akivalishwa Pete...hawakujua nyuma ya pazia that was all acting na kutafuta kiki...sema watz akili zetu nikama magazet ya shigongo hatuumizi kichwa kufikiria....wakatoka povu kutetea harusi ingekuwepo mwisho wa siku kwishney!! Wema kule no harusi no nini
 
Hivi vitu hufanyikaga hata mbele ili kumpa MTU kiki km labda Ana album inakuja au anataka kujitangaza.....km kipindi kile Beyonce n rehhana wanatoa album ikaja ishu eti rihanna anatembea na jay z...waliowavivu kufikiria wakashikia bango mpk basis kumbe zilikuwa kiki tu
 
Diamond anataka kujitangaza njee! So yeye na zari ni picha tu...wema alimtangaza vzr tz
 

mkuu umenena ukweli mtupu
 
chezea ndoa wewe jamaa kapata KIKI, mara kimyaaaaaaaaa

Tehe teheeee wameishia kwenye kuvaa shela na suti na kupiga picha tuu kama wema sepetu.....
Nyoooooooooooo ndoa domo ataisikilizia kweye bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…