Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mkuu wewe una wasix2 sana, usiombee umfumanie mkeo -unaweza kufa bila hata kuugua au uhisi ana cheza off side trick unaweza mgeuza butcher kumbe ni inocent.
Akaniambia hajui, ila baada ya kumbana akakiri kua yeye ndo alokula hizo dawa kwani alikua anahisi maumivu makali kwenye kizazi hasa anapokua anakojoa. Nikamuuliza kulikono unaumwa lakini hukutaka nijue? Akasema aliogopa kwa sababu mimi hua namkataza kula dawa bila kushauriwa na daktari.
Amina! Haleluya! Nenda na amani mhashamu, umesamehewa dhambi zako zote.Muamini mkeo, kaeni pamoja mpange suala la familia
Amina! Haleluya! Nenda na amani mhashamu, umesamehewa dhambi zako zote.
Kwa lugha ya kiyunani hiyo inatamkwa THENKSI!!:angel:...:tea:
Kwa lugha ya kiyunani hiyo inatamkwa THENKSI!!
Hahahahaha! Sitasali kwa wiki tatu. Hii baraka uliyonipa najihisi nina nguvu za upako kama Yohana Mbatizaji.Naona roho mtakatifu anatenda kazi... (umekubali chiaz ya chai leo..)
Hahahahaha! Sitasali kwa wiki tatu. Hii baraka uliyonipa najihisi nina nguvu za upako kama Yohana Mbatizaji.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu (nna kakiu kakali sana ka bia):lie:
:bounce:Hahahahaha! Sitasali kwa wiki tatu. Hii baraka uliyonipa najihisi nina nguvu za upako kama Yohana Mbatizaji.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu (nna kakiu kakali sana ka bia):lie:
Sasa unaweza kumruhusu Mtumishi wako aende kwa amani? (Mechi inakaribia kuanza ujue)Utakuwa unampa ibilisi nafasi... kuna weldi kapu, which will lead to Serengeti, then INFIDELITY...:disapointed:
much better!kuliko kuangalizia nyumbani!unaweza jikuta unaongeza familia bila kutarajia:A S tongue::ranger:Utakuwa unampa ibilisi nafasi... kuna weldi kapu, which will lead to Serengeti, then INFIDELITY...:disapointed:
Sasa unaweza kumruhusu Mtumishi wako aende kwa amani? (Mechi inakaribia kuanza ujue)
much better!kuliko kuangalizia nyumbani!unaweza jikuta unaongeza familia bila kutarajia:A S tongue::ranger: