Vipi ndoa za MMU?
za MMU next level wewe.Vipi ndoa za MMU?
Zinadumu.....Za MMU zinadumu..
fb uhuni mtupu hamna kitu pale under age ndio wako kule wanaongea pumba tu
Ok. Ok. Mimi nipo facebook na huwa naitumia vizuri tu. Tukiachana na mambo ya relationships, pia facebook imenisaidia kupata connections nyingi tu na kujuana na watu mbali mbali...