Ndoa za kichina je unazijua?

Ndoa za kichina je unazijua?

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
407
Reaction score
75
Jamani najua kuwa vijana wengi tunajikuta ktk wkt mgumu hasa baada ya kuingia ktk maisha ya ndoa, ila nafikiri hatujui tatizo ni lipi mpaka tunafikia hatua ya kuishi na wake zetu wiki 1 au mwezi 1. Hii ni kutokana na kutamani mwanamke kwa muonekano wa nje bila kumjua kiundani yaani ( tabia) eti kisa kapendeza kama nokia ya kichina kumbe ndani yaani taabia ni feki . Kutokana na muonekano wake tunafikia hatua ya kuchumbia kwa muda mfupi na kuoa, hvyo tuwe mkn ktk kuchumbia ili kepukana na ndoa za kichina.
 
Wanaume je? Hatuna matatizo kama hayo ambapo wengi wetu hupendwa hata tukaaminiwa na kuheshimiwa na wanawake na kisha kwatabia zetu za kuchumia ndizi mgombani na kuuacha mkungu umening'inia. Tuujue usafi kwanza tujisafishe ndo tutafaa kuuona na kuusafisha wa wengine. Man Train your wife, don't look for an angel.
 
Nilijifunza kutoka kwa baba yangu mke wakuoa anatakiwa awe ana sifa tatu.

1-Mzuri

2-Dini yake....mara nyingi sana unatazama tabia yake/Family yake kama ni wafata din na wametuliazana kitabiai(yani awe na tabia nzuri yeye na family yake)i

3-Mali yake.

Ukisha pata hivyo vitatu duniani ni yako :A S thumbs_up:
 
Nilijifunza kutoka kwa baba yangu mke wakuoa anatakiwa awe ana sifa tatu.

1-Mzuri
2-Dini yake....mara nyingi sana unatazama tabia yake/Family yake kama ni wafata din na wametuliazana kitabiai(yani awe na tabia nzuri yeye na family yake)i

Watanzania bwana mi nawapinga sana kwa mambo yenu, KWANI MTU HUOA HUYO MWANAMKE AU FAMILIA? Unakuta mnachunguuuza eti bibi yake, mama zake, shangazi zake eeeeh! Acheni hzo. Na uzuri wa mtu huwa uko machon pa mtu.
 
FYI mimi si mtanzania nilizaliwa tu tanzania.

Pili usiwashambulia watanzania wote, sababu hata kama mimi ni mtanzania ni mimi tu...sio watanzania wote.

Huo ni msimamo wangu na sioni kosa.

Nilipotaka kuoa nilimuomba mungu anajalie kuoa mke mwenye sifa hizo, sa sioni kosa.
 
Fazaa hiyo alikufundisha ustadhi chuoni nini.....Back to topic, acheni kutafuta wanawake mnaowapatia baa.
 
Anaweza akapatikana Bar lakini akawa mkw mwema

Na anweza patikana ndani ya geti akawa PASUA KICHWA

Ombeni Mungu awape mke/mume wako( mwema )
 
Jamani najua kuwa vijana wengi tunajikuta ktk wkt mgumu hasa baada ya kuingia ktk maisha ya ndoa, ila nafikiri hatujui tatizo ni lipi mpaka tunafikia hatua ya kuishi na wake zetu wiki 1 au mwezi 1. Hii ni kutokana na kutamani mwanamke kwa muonekano wa nje bila kumjua kiundani yaani ( tabia) eti kisa kapendeza kama nokia ya kichina kumbe ndani yaani taabia ni feki . Kutokana na muonekano wake tunafikia hatua ya kuchumbia kwa muda mfupi na kuoa, hvyo tuwe mkn ktk kuchumbia ili kepukana na ndoa za kichina.

pia punguzeni kukurupuka,unakuta mtu mmefahamiana mwezi tu,unatangaza nia na kuweka ndani,what do u expect zaidi ya uchinese ndani ya ndoa??
 
Back
Top Bottom