ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
Nilijifunza kutoka kwa baba yangu mke wakuoa anatakiwa awe ana sifa tatu.
1-Mzuri
2-Dini yake....mara nyingi sana unatazama tabia yake/Family yake kama ni wafata din na wametuliazana kitabiai(yani awe na tabia nzuri yeye na family yake)i
Watanzania bwana mi nawapinga sana kwa mambo yenu, KWANI MTU HUOA HUYO MWANAMKE AU FAMILIA? Unakuta mnachunguuuza eti bibi yake, mama zake, shangazi zake eeeeh! Acheni hzo. Na uzuri wa mtu huwa uko machon pa mtu.
FYI mimi si mtanzania nilizaliwa tu tanzania.Watanzania bwana mi nawapinga sana kwa mambo yenu, KWANI MTU HUOA HUYO MWANAMKE AU FAMILIA? Unakuta mnachunguuuza eti bibi yake, mama zake, shangazi zake eeeeh! Acheni hzo. Na uzuri wa mtu huwa uko machon pa mtu.
Yeap ustadhi na dingi pia alinifundisha.Fazaa hiyo alikufundisha ustadhi chuoni nini.....Back to topic, acheni kutafuta wanawake mnaowapatia baa.
Fazaa hiyo alikufundisha ustadhi chuoni nini.....Back to topic, acheni kutafuta wanawake mnaowapatia baa.
Jamani najua kuwa vijana wengi tunajikuta ktk wkt mgumu hasa baada ya kuingia ktk maisha ya ndoa, ila nafikiri hatujui tatizo ni lipi mpaka tunafikia hatua ya kuishi na wake zetu wiki 1 au mwezi 1. Hii ni kutokana na kutamani mwanamke kwa muonekano wa nje bila kumjua kiundani yaani ( tabia) eti kisa kapendeza kama nokia ya kichina kumbe ndani yaani taabia ni feki . Kutokana na muonekano wake tunafikia hatua ya kuchumbia kwa muda mfupi na kuoa, hvyo tuwe mkn ktk kuchumbia ili kepukana na ndoa za kichina.