ndoa ya kikristo ni mkataba wa hiari kama mikataba mingine. tunaambiwa mnaweza kuachana kwa ajili ya uasherati,ila kuna issue ya kusamehe 7 x70. umeambiwa kuhusu PEP, hiyo ni immediate measure. kama mwenza anakubali kosa, na anataka kubadilika kimatendo na kuanza upya zoezi la kujenga uaminifu ndoa inaweza kuendelea. lakini umeshafikiria kuhusu binti ama kijana wa miaka 27, ambaye mwenza wake ameamua kumuacha na kuenda kuishi kinyumba na mtu mwingine. unadhani yeye ataishije kwa kuepuka dhambi na kutimiza mahitaji ya kimwili? kuna case niliiona papa alitoa ruhusa ya a divorced man kufunga ndoa tena aftr 10+ yrs of arguments! ndo maana bible inasema uzinzi (nadhani uliokithiri) unavunja ndoa.