Ndoa za MITALA.....

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Wanajamvi naombeni kufahamishwa katika hili, je hizi ndoa ni rasmi(zinafanana na zile zawaislamu wake wa4)?? Au ni zipoje??
Ni kweli zilikuwepo katika jamii yetu tangu miaka ya nyuma, lakini je vp mapokeo yake? Zinakubalika au kupingwa??

Nini faida zake kwa Muhusika/wahusika na jamii kwa ujumla na nini madhara yake pia??

Namnukuu rafikiyangu mmoja wakati niko O-level niliwah kumuuliza akanambia
"Ndoa zamitala zinafaida nyingi 1. Mwanaume anapata radha tofauti, 2. Ni kitega uchumi kama ana ardhi yakutosha eti wamama watalima na yeye atakusanya mazao tu, na"

Maoni yako tafadhali katika hili...

Nawasilisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…